It has an amazing combination of minerals, vitamins and natural growth stimulating substances. It contains major nutrients Nitrogen, Phosphorus and Potassium which are essential for strong and healthy plants. Organic based.
Ina mchanganyiko wa madini, vitamini na viambata asilia vya kuongeza kasi ya ukuaji wa mmea. Ina virutubisho muhimu kama Naitrojeni, Phosporus na Potassium (NPK) ambavyo ni muhimu sana kwa mimea yenye afya na afya bora
NAWIRI - Complete
TSh 30,000.00Price