Enhance Soil with NAWIRI Organic Kelp Fertilizer - Eco-friendly Solution
- micaeltanzborn
- Mar 18
- 1 min read
Nawiri ni mbolea iliyotengenezwa kiasili bila kuongezewa kemikali kupitia Mwani inayozalishwa Zanzibar ikichanganywa na Kelp kutoka Bahari ya Atlantiki Kaskazini
Nawiri ina kiwango kikubwa cha ‘biostimulant’ cha Asidi ya Algenic ambayo inavunwa kutoka kwenye "Ascophyllum nodosum" au KELP ambayo imethibitishwa kuwa kichagizo muhimu katika ukuaji wa mmea kwa na kilimo endelevu.
Nawiri ni bidhaa ya Kitanzania.
Nawiri is an organic fertilizer made from seaweed (kelp) i.e Mwani, it is a local product with seaweed from Zanzibar combined with Kelp from North Atlantic Sea.
Nawiri has a VERY high concentration of the biostimulant Algenic Acid sourced from "Ascophyllum nodosum" or KELP, that has proven to be the most important ingredient in an organic fertilizer for sustainable farming.
Nawiri is proudly Tanzanian.

Comments